Monday, August 11, 2008

HI MASELA NA WATU WENGINE WOTE NIMELUDI

NIMELUDI TENA

Thursday, May 29, 2008

HAWA NDIO MATAJIRI WA DUNIA YETU




Haya kazi kwenu wadau

Saturday, May 24, 2008

TIMU YA ILALA NDIO MABIGWA TAIFA CUP

HAYA WAPENZI WA SOKA LEO NDIO ILIKUWA FAINALI KATI YA TIMU YA ILALA NA KINONDONI,HATMA YAKE NI ILALA NDIO WAMEIBUKA KIDEDEA BAADA YA KUICHAPA ILALA MABAO 5-0.
KWA USHINDI HUO TIMU YA ILALA IMECHUKUA SHILING MILLION 30.KILA LA KHERI ILALA

MZEE WA STORY TATU - JAY MO

hapa vipi wadau nisaidieni

hapa juu anaonyesha ushirikiano

hapa sijui anafanya nini?

Haya wadau leo nimetumiwa picha ya msanii huyu wa teknic,Jay mo kawaida yake huwa anakuwa kimya alafu akiludi anawashika na kukonga nyoyo za wapenzi wa muziki wake kama kawa.

SOLO AENDELEZA MAKAMUZI NDANI YA UK



Msanii Solo thang ambaye kwa sasa anaishi kule UK bado anaendeleza kipaji chake kama kawaida.apo juu akiwa na mwanae

Friday, May 23, 2008

JAMANI WATANZANIA LUDINI NYUMBANI




Sakata la watu wa South Africa bado linaendelea na wameshatoa tamko kwamba watu wapalamiaji waludi kwenye nchi zao,wazawa wenyewe wa uko wanalalamika kwamba wao wamekuwa wakigomea baadhi ya kazi ambazo mshahara wake ni mdogo lakini wageni wamekuwa wakizifanya tena kwa maslahi ya chini kwa iyo inasababisha kuwafanya maisha yao kuwa magumu.

MAMBO YALIVOKUWA




Siku zote chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho,wale mashetani wekundu wamedhihirisha hayo baada ya kuchukua ubingwa,vilevile christiano amewathibitishia mashabiki wake kuwa hatoenda kokote yeye bado yupo na mashetani hao kwa sasa,

Thursday, May 22, 2008

TUTAKUKUMBUKA BALALI


Mengi yatasemwa kuhusu kifo cha Balali lakini yote tumuachie mungu kwani ndo anajua yote,Mungu amlaze mahali pema ....Amen

HAYAWI HAYAWI SASA CHENGE MOTONI




FROM UNKNOWN SOURCE
According to the dataz, Chenge sasa yupo London akiwa chini ya ulinzi wa makachero wa UK, akiwasaidia kuhusiana na uchugnuzi wa Radar. Habari nyeti nilizozipaata jana ni kwamba Chenge aliondoka kwa siri hapa nyumbani bongo kuelekea London, majuzi usiku ambako alikuwa akitakiwa kisheria na wachunguzi wa huko ambao ndio walioibua kashfa ya zile "Vijisenti". Huko London, alipokewa na makachero hao mara tu alipofika kwenye uwanja wa ndege, ambao walimpokea na kutokomea naye kusikojulikana.According to more dataz, ni kwamba Muungwana was approached na makachero hao wa UK, hata kabla ya kikao cha CCM Butiama, na kwamba hata alipokuwa anachagua baraza la mawaziri tayari alikuwa anazo habari za Chenge na "Vijisenti", lakini hakutaka pupa. Dataz hizo zinasema kuwa hata kabla ya kwenda India, Muungwana alikuwa tayari ameshawapa makachero wa UK, kibali cha maandishi cha kumshika, na kum-search Chenge, as much as they wanted or see fit!Kabla ya kwenda Butiama, Chenge was approached na makachero hao wa UK lakini akawajibu kijeuri sana kuwa yeye ni mtu mkubwa sana hawezi kutishwa na wakoloni, ndipo wazungu walipomuonyesha warrant maalum iliyoandikwa na kusainiwa na Muungwana, Chenge almost fainted, lakini akakubali na kuchukuliwa na makachero hao, walioi-search nyumba yake upside down kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa mbili usiku, na kupata ushahidi mwingi waliokuwa wakiutafuta na kuondoka nao, na muungwana alimpa order ya kuendelea kuwasaidia hadi watakapomaliza uchunguzi wao, na baada ya kujiuzulu Chenge aliambiwa ajitayarishe kwenda UK kushiriki kwenye kuwasaidia zaidi makachero hao wakizungu, ambako ndio alienda rasmi majuzi na yuko huko bado.Halafu dataz zaidi pia zinasema kuwa mapesa mengi na mali za mafisadi zimeszuiwa na serikali kwa siri kubwa sana, the matter of fact hata nyumba za mafisadi wengi zilizoko SA ikiwemo ya Mkapa pia zimeshikwa na serikali tayari, ikiwa ni pamoja na mapesa yao yote yaliyopo hapa bongo.Mafisadi wengi wamejaribu kumfuata Mkono ili awasadie, akiwemo Chenge pia, lakini according to the dataz hata Mkono amewaruka wote, baada ya kupewa a very strong warning na muungwana kuwa akae mbali nao, now mnyonge anyongwe, lakini haki apewe on this.....More Dataz to Come Soon....

Tuesday, May 20, 2008

LEO LAZIMA UBINGWA WETU




Nimevumilia nimeshindwa sasa nimeamua kuonyesha uzalendo wa chama langu la mashetani wekundu,leo lazima tuwatoe nishai hao The bluessss,tunawapiga 2-0

by Ngwega

MASIKINI SOUTH AFRICA



Kwa masikitiko makubwa natoa habari hii ya wenyeji wa South Africa walipoamua kuwapiga vita wageni na wavamizi wa nchi yao ambao baadhi yao ni wenzetu watanzania,wageni hao wengine walichomwa moto , kupigwa vibaya na baadhi yao 22 kuuwawa.wengi wao sasa wanalala vituoni kwa kuhofia usalama wao.pitia hapa http://photos.mg.co.za/view_photo.php?pid=3469&gid=224

DAVID BECKS NDANI YA BONGO!



Inasemekana mchezaji wa Galaxy ya kule Marekani David atakuja hapa TZ kwa nia ya kupanda mlima wetu wa pekee Kilimanjaro,na vile vile sasa ameongeza gari lake jipya aina ya Jeep ambalo ameonekana akiendesha uku akiwa na mwanae Brooklyn.habri zaidi


TUSISAHAU TULIKOTOKA


Wadau wenzangu ni imani yangu kuwa mtakubaliana nami kuwa asilimia kubwa ya wakazi wa mijini tulitokea vijijini tena kwenye makazi ya kawaida kabisa ila wengi tunajisahau hata hatukumbuki tulikotoka mimi nimeamua kuwafahamisha wadau wenzangu mahali nilipozaliwa hukoooo...Thuji milima ya upare ;Karibuni sana

ni yule yule baba Jordan

Monday, May 19, 2008

BABA NA MWANA


Mcheza sinema machachari na mchekeshaji Jackie Chan na mwanae wa kiume wakiwa katika picha ya pamoja,kwa wale wapenzi wa sinema naona kwa kutazama hii picha watakuwa wamekumbuka vituko na umaridadi wake kwenye videos zake.

Jackie Chan bado yupo kwenye majonzi ya Baba yake mzazi ambaye alifariki miezi miwili iliyopita.

PROFILE LA NCHI YETU


Hili profile letu la nchi yetu ndio linavoonekana katika uso wa dunia.
Full name: United Republic of Tanzania.



Country profile: Tanzania


Tanzania has been spared the internal strife that has blighted many African states.
Though it remains one of the poorest countries in the world, with many of its people living below the World Bank poverty line, it has had some success in wooing donors and investors.
Tanzania assumed its present form in 1964 after a merger between the mainland Tanganyika and the island of Zanzibar, which had become independent the previous year.


Population: 40.4 million (UN, 2007)


Capital: Dodoma (official), Dar es Salaam (commercial)


Largest city: Dar es Salaam


Area: 945,087 sq km (364,900 sq miles)


Major languages: English, Swahili


Major religions: Christianity, Islam


Life expectancy: 51 years (men), 54 years (women) (UN)


Monetary unit: 1 Tanzanian shilling = 100 cents


Main exports: Sisal, cloves, coffee, cotton, cashew nuts, minerals, tobacco


GNI per capita: US $340 (World Bank, 2006)


Internet domain: .tz


International dialling code: +255

MUNGU ATULINDE NA MABALAA HAYA





Masikini Burma..

Burma ni nchi ambayo ina watu million 50 ipo Bara la Asia ya kusini mashariki,vilevile imepakana na Thailand,Tibet,Laos,China,India na Bangladesh.

Inasikitisha sana kuona picha hizi ambazo zinaonesha hali halisi ya mabalaa yaliyoikuta nchi iyo ya burma, eeh Mungu wasaidie..

Sunday, May 18, 2008

WADAU WA HIPHOP


Wadau wa hiphop vipi tunaweza kuijadili hii picha ya hawa wasanii wa Marekani,lil wayne na Baby hapa naona sielewi...

Saturday, May 17, 2008

MIUJIZA MIPYA YAZUKA - MBEYA

Mzee huyo anayefahamika kama mganga wa kienyeji anatambulika kwa jina la Amakisye Kayuni katika wilaya ya Ileje mkoani Mbeya amebambwa na utumbo,misuli na baadhi ya nyama zinazo dhaniwa kuwa ni za binadamu,
Mkasa huo ulimkuta wakati polisi wapo kwenye msako wa kukagua waganga wasio na vibali.

DAR WATEJA WA TANESCO BILLS KULIPA CRDB


Hapa Dar es salam huduma hii itakuwa inapatikana zaidi ya matawi 50 ya CRDB na ATMs 75,na ATMS 20 zitakuwa tayari kabla ya mwezi july,

Pia Dr. Rashid aliongeza kuwa sasa wana plan ya introduce vituo vya kupigia simu ambavo vitakuwa vikifanya mawasiliano ya haraka kati ya wateja na company ya Tanesco.habari zidi http://www.ippmedia.com/

Friday, May 16, 2008

INDIA KUMEKUCHA



Bomu la uhakika lililipuka huko India katika mji wa Jaipur na inasemekana limeua watu 60 na wengine walikuwa majeruhi.

MAKAMUZI BADO YANAENDELEA ULAYA



The Ngoma Africa band na Mziki wa dansi wa Tanzania! wanazidi kutesa Ulaya

Sasa hile ali ya watanzania kusononeka kuwa mziki wao hajulikani kimataifa!hayipo tena,
baada ya bendi ya mziki wa dansi ya "The Ngoma Africa" inayohongozwa na mwanamziki
nyota wa kimataifa mtanzania Ebrahim Makunja aka Ras Makunja alimaarufu bwana Kichwa ngumu,bendi hiyo yenye makao makuu yake huko Ujerumani,inazidi kujizolea umaaru kila kukicha na kuwanasa maelfu wa washabiki wa mataifa mbali mbali barani ulaya,
The Ngoma Africa ambao pia wamebandikwa jina la "Wazee wa Kukaanga mbuyu"pia wametajwa kuwa "The Golden Voice of East Africa" ndio bendi pekee inayoongoza kwa kuwanasa na kuwatia kiwewe washabiki kwa kutumia mdundo au mziki wa dansi wa tanzania ambao wenyewe wanauhita "Bongo dansi"
Bendi hiyo maarufu ambayo inawanamziki ukiachia Ras Makunja mwenyewe,pia yupo mkali wa solo Bw.Christian Bakotessa aka Chris-B,kuna Bw.Said Vuai aka Prince Vuai ambaye uchalaza gita la bass, na wengi wengineo.
The ngoma africa na bongo dansi lao made in Tanzania wanajikuta mara nyingi kuwa wanaulinzi mkali wawapo jukwaani kutokana na kiwewe cha wingi wa washabiki wanaotaka kila mmoja wao japo akauguse mwili wa mwimbaji wao Ras Makunja !ali hii imewafanya maporomota kuongeza ulinzi wa Ngoma Africa wawapo jukwaani!
Watoto wetu hawa Ngoma Africa kutoka Uswahilini Tanzania wamekuwa jukwaani kwa miaka 15 sasa na dansi lao limefikia mahala pa kuonekana kuwa hakuna mpinzani! amini au usiamini,Umahiri wa Ngoma Africa hadi kutajwa kila mara huko ulaya kuwa mziki wao ni tishio au moto usio wekeka kiganjani ni kuwa washabiki wao si watu wa taifa au tabaka moja tu bali ni mchanganyiko wa watu.Ni tofouti sana na bendi nyingi kama vile za kikongo zilizorundikana Ufaransa au Ubeligiji ambapo wasahabiki wake huwa raia wa kwao na wazungu wachache! Ngoma Africa Urimbo wao wa dansi la Tanzania umewanasa washabiki
wote! yaani washabiki utafiri wamelogwa au wameingiwa na pepo kichwani kwa kuhusudu mdundo wao huu kutoka bongo uswahilini,Tanzania.
Kama wanamziki walio nyumbani Tanzania kama watafanya kweli na juhudi za kuzitoa nje ya nchi kazi zao basi kwa hakika mziki wadansi wa Tanzania utazidi kuwa tishio!hili linawekana kabisa.
Kwa kadri tunavyoona ushaidi wa wazi kutoka katika majarida ya nje kama
www.thegroovemag.com la New York,huko U.S.A kuwa Ngoma Africa wanashea ukurasa wa mbele na mastaa wa Marekani! na jarida lingine la Uholanzi www.africanews.com/site/list_messages/8783?data(sorce)=rss

MAMBO YA DUBAI


Hili jengo lipo Dubai na limemaliziwa kujengwa mwaka huu,lina metters-height 705 na lina floors 160.

MLIPUKO NIGERIA



Bomba kubwa linalopitisha mafuta limepasuka na kusababisha watu wasiopungua mia moja kufariki na wengu wao wakiwa ni watoto.

Ras Ebby Makunja" Kiongozi wa The Ngoma Africa Band




Hi!Wazee wa kazi mpo hapo?
Hizi picha!huyu ndiye Ebrahim Makunja a.k.a Ras Ebby Makunja a.k.a Bw.Kichwa Ngumu!
mtunzi mchokozi,mwimbaji na kiongozi wa kikosi cha watoto sugu "The Ngoma Africa Band" Kabwana kichwa ngumu ketu haka! mtu wa watu!mtumishi wa wapenzi wa bongo dansi,akiwa kibaruani kwake jukwaani lazima kieleweke kitu mara nyingi uwahacha hoi wapenzi wa mziki barani ulaya kwa wa BLING!BLING ZAKE ZA Kienyeji!
Tofouti na wanamziki wengine!bling!bling zake shingoni uwavuatia watu sana wakati nyumbani wenzanke wanaukimbilia UMEREKANI fulani yeye upanda na zile za kienyeji

MASIKINI CHINA


Watu zaidi ya million tano wamekimbia makazi yao nchini china kutokana na kimbunga kuharibu makazi yao,

NIMETEGUA KITENDAWILI BILA KUPEWA MJI


Hapa ndipo ninapopatia mkate wangu wa kila siku ndani ya jiji wliitalo Dar es salaama japo si salama sana kama yasemavyo maandiko ''Utupe leo mkate wetu wa kila siku ''
Lakini yakasisitiza kuwa ''Asiyefanya kazi na asile''

Baba Jordan (mbwambo julius )



Ngoja nikupe mji nenda mtwara...

NAKUUNGA MKONO KWA HII



Dogo,mie pia hushiriki katika kuperuzi habari mbalimbali katika blog nimeiona picha yako ukidai ngoja wewe uanze baada ya kuona hiyo ya mdau wa gospel basi acha nami nifuatie.Hiyo ni picha yangu ambapo hapo siku ya jumamosi tarehe 10th May 2008 nilichukua degree ya pili ya uchumi hapo Atlanta,USA kutoka katika chuo kikuu cha Georgia State.Nakupa hongera kwa kujiunga katika njia hii ya kutuhabarisha.Keep it up.


Yaa jina langu ni kama email address yangu naitwa" Cliff Muga "ni mkazi wa Dar

Asante





ebwaana eeh asante kwa kunitembelea na hongera kwa degree ya pili,poa tupo pamoja

Thursday, May 15, 2008

HONGERA MDOGO WETU


Binafsi nimefurahishwa sana na blog yako bila shaka itakuwa bomba sana huko tuendako .

Nakutaarifu tu kuwa unao wapenzi wa kila aina hata sisi wapenzi wa gospel Music .

nakutumia picha ya kwaya ambayo mimi mwenyewe natumika kwayo kwa sasa(KIMANGA SDA CHOIR) sukuambii niko sehemu gani katika picha hii ila kadiri tunavyoendelea kuwasiliana utanitambua tu.

NI MIMI JULIUS JASTO MBWAMBO(BABA JORDAN)


MDAU WA MY BLOG YAKO

Wednesday, May 14, 2008

BADO SIKU 90 ZIMBABWE


Kwa wenzetu Zimbabwe zimebaki siku 90 tu iwe ndo mwisho wa reli ,

HADI SASA INASADIKIWA 15,000 WAFA NA TETEMEKO CHINA


Sasa watu 15,ooo wanasemekeana wamekufa na wengine 26,000 bado hawajulikani walipo.Na sasa zimemwagwa helicopters 90 kwa ajili ya kusaidia kuongoza kuokoa watu walioathirika na tetemeko ilo la ardhi.

"BOMU KARIBU LINALIPUKA TENA"


Orodha ya watumishi wa Serikali wanaotuhumiwa kushiriki dili lililoiwezesha kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond kuweza kuingia mkataba wa kifisadi ulioiingiza nchi katika hasara ya mabilioni ya pesa imetua ikulu kwa ajili ya kusubiri hatua za kiutawala kuchukuliwa dhidi yao.

Alisema hayo mh:waziri mkuu Mizengo Pinda

WATANZANIA WAHIMIZWA KUENDESHA MITANDAO



Serikali imesema ni aibu na hatari anuani za mtandao za Tanzania kumilikiwa na kuendeshwa na wageni. Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Dk. Naoni Katunzi, katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara hiyo, Bw. Jeremiah Sendoro

MISS UNIVERSE TANZANIA - 2008


Haya jamani muwe attension mambo ndo hayoooo

KWELI KAZI IPO



Huyo cole aende zake jamani wadau wenzangu embu kwanza tupimeni huu uzito alafu ndo tuongee,Sir wins managerial honour and Ronaldo.....malizieni ....

MESSI NI BORA ZAIDI YA RONALDO?


Mchezaji wa club ya Chelsea ya Uingereza anayetambulika kwa jina la Joe Cole ameongea live kuwa mchezaji wa Barca ya Hispania "Messi' ni bora kuliko yule kijana wa Old Trafod 'Christiano Ronaldo"

"apa naona kuna utata"vipi mnasemaje?

Chelsea's Joe Cole says Barcelona's Lionel Messi is ahead of Manchester United star Cristiano Ronaldo as the best player in the world.

BORA NIANZE MWENYEWE


Kwakuwa wadau mnanisubiri mwenyewe ndo nianze kutoa mashambulizi ya kutoa ushirikiano na sasa ndo nimeanza,sasa nawasubiri...leteni tu

AHMADINEJAD AKIWA UKWENI


Rais wa Iran Mahmoud Ahmadinejad akiwa ukweni alipompeleka mwanae mkubwa wa kiume Mahdi(kulia) kuchukua jiko na katikati ni mwanae mwingine Alireza.

WADAU MNAELEWA LOLOTE KUHUSU WATU HAWA?



Sasa inasemekana wasanii maarufu wa marekani Rihanna & Chriss brown ni wapenzi,je wadau hii imekaaje,wakati Jay z anajitahidi kupiga vita uhusuano huu?

TETEMEKO LENYE NGUVU LAIKUMBA CHINA


Habari za kusikitisha zinazohusu tetemeko la ardhi ambalo limeikumba nchi ya china zinasema kuwa maelfu ya watu wamekufa na mali nyingi kuteketea,habari zaidi http://www.nytimes.com/

Monday, May 12, 2008

USHER NA MWANAE


Inasadikiwa usher amewashangaza watu alipotoka na mkewe na mtoto wao mwenye miezi mitano sasa kwenda shopping mjini New York.

Hii ni mara ya kwanza kwa watu kumuona mtoto wa usher na mkewe Tameka,Hakuwahi kupeleka picha ya mwanae hata kwenye magazine. freshandfab.blogspot.com