Kwa taarifa za uhakika nimepokea haabari ya kuwa Eminem ametoa wimbo unaowahusu wanandoa mariah na nick.kwa mujibu wa mistari ya huo wimbo ni kumtaka mariah aludi tena kwake..
Dar/Moro, Dar es salaam-Contact is ngwega@gmail.com, Tanzania
Nipo kwa ajili watu wote na matukio yote ya ndani ya nchi yetu na nnje vilvile,huu ni mwanzo wa kuanzisha kitu kama hiki na nategemea nitajifunza mengi na mtajifunza pia,naomba tuwe pamoja kwa mabaya na mazuri na msisite kutoa makosa yangu na hata mkiyaleta nitayaweka wazi hapa.Asanteni
0 comments:
Post a Comment