Ingwa ndio kwanza naanza na mambo ya desin graphic nadhan naendelea vizuri...na vilevile napenda kuwajulisha wadau wangu kuwa kila week nitakuwa naweka desin za picha mbili...BY NGWEGA
Dar/Moro, Dar es salaam-Contact is ngwega@gmail.com, Tanzania
Nipo kwa ajili watu wote na matukio yote ya ndani ya nchi yetu na nnje vilvile,huu ni mwanzo wa kuanzisha kitu kama hiki na nategemea nitajifunza mengi na mtajifunza pia,naomba tuwe pamoja kwa mabaya na mazuri na msisite kutoa makosa yangu na hata mkiyaleta nitayaweka wazi hapa.Asanteni
0 comments:
Post a Comment