VP HUYU KIJANA MBONA HAYA MAMBO NA SOKA HAYAENDANI?
1 comments:
Anonymous
said...
Unamaanisha kijana kukaa beach na kimwana ama?Hapo sioni kama kuna kosa!Angekuwa Ronaldinho ningeweza kusema anaweza kulewa na sifa BUT this kid will prove haters wrong.Kila mtu ana-wish mabaya kwa kijana!Atarudi tu home - Old Trafford,kwani mtoto akinyea mkono huwezi kuukata.
Dar/Moro, Dar es salaam-Contact is ngwega@gmail.com, Tanzania
Nipo kwa ajili watu wote na matukio yote ya ndani ya nchi yetu na nnje vilvile,huu ni mwanzo wa kuanzisha kitu kama hiki na nategemea nitajifunza mengi na mtajifunza pia,naomba tuwe pamoja kwa mabaya na mazuri na msisite kutoa makosa yangu na hata mkiyaleta nitayaweka wazi hapa.Asanteni
1 comments:
Unamaanisha kijana kukaa beach na kimwana ama?Hapo sioni kama kuna kosa!Angekuwa Ronaldinho ningeweza kusema anaweza kulewa na sifa BUT this kid will prove haters wrong.Kila mtu ana-wish mabaya kwa kijana!Atarudi tu home - Old Trafford,kwani mtoto akinyea mkono huwezi kuukata.
Mdau,
Oxford
Post a Comment